Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA CHENYE HATI, SQM.2,004, TSHS.30 MILIONI TU,BUNJU MJIMPYA.
Umbali wa wastani wa kilomita 3 tu kutoka
BUNJU-A/Bagamayo Road.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani tu.
Ni Mali adimu hii.
WAHI USIJE KUJUTIA KUIKOSA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.