Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam







NIMEVUNJA BEI 🔥🔥🔥,,BOSS NJOO TUYAJENGE
ENEO ZURI SANA, KUBWA LINAUZWA BINAFSI
LOCATION GOBA MUUNGANO UWANJA WA NYARA DAR-ES-SALAAM-TZ,
PLOT SIZE 4073 SQM
PANA MAPAGALA MAWILI
PANAFAA KWA MAKAZI, APARTMENTS ZA BIASHARA, UKUMBI, SHULE, NK
SIFA ZAKE
1. LINATAZAMA BARABARA. LINAWEZA KUFAA KWA MATUMIZI MENGI TOFAUTI
2. LIMEPIMWA
3. NI CORNER PLOT
BEI SASA NI MIL 340 MAZUNGUMZO KIDOGO
Site visit fee 50k
Karibu tukuhudumie boss
CONT
0746 433 854