Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


*UNATAFUTA KIWANJA KIZURI? HIKI HAPA*
Kiwanja kinauzwa Goba Mti Pesa – ni kizuri sana!
Umbali: 1 KM tu kutoka lami
Ukubwa: 601 SQM
Eneo: Tambarare kabisa – jenga mara moja!
Bei: Milioni 60
Karibu tukufikishe site ujionee mwenyewe.
Piga/WhatsApp: 0742 892 195