Kiwanja kinauzwa Goba Kinzudi, Dar Es Salaam (350 sqm)







Aina
Kiwanja
Ukubwa
350 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kwa uzuri wa hiki kiwanja, Kina thamani zaidi...
Kipo Goba Kinzudi. Ni jirani na barabara ya Kinzudi Road I
Kimegusa barabara ya mtaa , kipo tambalale na kina fensi pande mbili.
Kinafikika vizuri kwa 100%
SQM 350
BEI: TZS 39 Million
πTwanga simu moja, twende site..
Piga 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency #wekezagoba2026 #wekezanasi2026




















