Kiwanja kinauzwa Heka, Singida


OFFER YA KWANZA YA MWEZ HUU WA TATU😊
LEO NAKULETEA KIWANJA HIKI CHENYE UKUBWA WA M² 121000
Ikumbukwe m² 121000 nisawa na heka 30
KIWANJA HIKI KIPO NALA IFM
KIMEPIMWA
MATUMIZI YAKE NI URBAN FARM( unaweza badilisha)
KIZUR SAAANA
KINAFAA SANA KWA UWEKEZAJI WOWOTE
BEI YAKE IPO POWA SANA
BEI MILION 60 TU
MAWASILIANO...0754827637