Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU BLOCK AK /NATIONAL HOUSING JIRANI NA LAMI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 479 sq.m
Kipo jirani na LAMI
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs. 10,800,000/= ( milioni kumi na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"