Kiwanja kinauzwa Kahama, Mwanza


Kiwanja hiki kinauzwa Kiko Kahama ya Buswelu Mwanza kina hatua 28 kwa 35 ni MITA 100 kutoka Barabara ya Lami kimepimwa, Huduma zote zipo kina trip 16 za mawe na trip 2 za mchanga Bei ml13 tu kiwanja hicho kinafaa kwa Uwekezaji wa aina yoyote km Apartments za kupangisha N.k kwa maelekzo zaidi tupigie 0686887297au 0767346478