Kiwanja kinauzwa Kariakoo, Dar Es Salaam


โ๐ฟENEO BORA LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO KAMATA
โณ๏ธENEO HILI LIMEGUSA BARABARA YA RAMI ( LIPO PEMBENI YA STAND YA MWENDOKASI YA KAMATA)
โณ๏ธENEO LINA UKUBWA WA SQUARE METER 1147
โ๏ธLINAWEZA KUFAA KWA AJILI YA apartments za ofisi au za kuishi, hoteli, mall, fremu biashara, ofisi, godown, yard, kukodisha, n.k
๐ฐPANA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI (MMILIKI NI MMOJA)
๐ตBEI YAKE NI TSH BILIONI 1 NA MILIONI 500
O677370515