Kiwanja kinauzwa Kerege, Pwani


KIWANJA KIZURI CHENYE HATI, SQM.1481,TSHS.65 MILIONI, KEREGE-AMANI, BAGAMOYO. 
Kiwanja kizuri ndani ya Fensi.
Kipo umbali wa mita 500 kutoka Barabara ya Lami. 
Unapewa pia Tofari 500 Bure.
Umeme na Maji vipo.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255714591548
________________mpg




















