Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam





Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni Buyuni kituo kinaitwa Mahenge
Ukubwa wa Kiwanja Sqm 1500.
Bei ni Milioni 12 maongezi yapo.
Gharama za kuona kiwanja shs 20,000.
Wasiliana nami kwa
0784 234 971 au
0718 809 744
Karibuni sana


















