Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa ukubwa wa hicho kiwanja
Ni ekali moja
Kiwanja kimeshapimwa kabisa na kina hati ya wizala
Kipo dege mwembemdogo mtaa wa shilikiso
Kilo mita 1 kutoka lami
Kilo mita 1 kutoka bichi
Bei ml 45 tu maongezi yapo
Tuwasiliane mapema matajili wangu
0746914709
Kalibuni
Dalali kigamboni maiko
.
.