Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


HABARI BOSS! ZA SIKU
KUNA MAMA MCHUNGAJI ANAUZA NYUMBA YAKE IPO *KIGAMBONI KISALAWE TWO*
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VIWILI MASTER SEBULE KUBWA JIKO, PUBLIC TOILET NA STORE, *INA UMEME WA TANESCO,WA SOLA PAMOJA NA KISIMA CHA MAJI*
UKUBWA WA ENEO NI SQM 1000
DOCUMENTS ZA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
BEI 95M MAONGEZI YAPO
KWA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE KARIBU SANA BOSS WANGU 🙏🙏🙏 0785352140