Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NEW PROJECT ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
KIGAMBONI CHEKA PRIME PROJECT
๐ Sifa za Mradi
Umbali wa 2.7 KM tu kutoka barabara kuu mpaka
site.
๐นNjia panda ya Chuo ndiyo kituo cha kushukia.
๐นBarabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
๐นEneo lenye makazi ya watu
๐นMji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya
ardhi kila siku.
๐นHuduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
๐ซShule
๐จVituo vya afya
๐Umeme
๐ฆMaji safi
๐ฉบ Chuo cha Afya kipo jirani na site
๐ฐ PAYMENTS
๐นMalipo ya CASH
โข Bei: 30,000/= kwa sqm
Kiwanja cha sqm 450 = 13,500,000/=
โข Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
๐ 4,500,000/= kila mwezi
๐นMalipo ya INSTALLMENT
Bei: 35,000/= kwa sqm
โข Kiwanja cha sqm 450 = 15,750,000/=
Unaanza na 20% ya awali (3,150,000/=)
โข unalipa kwa miezi 12:
๐1,050,000/= kila mwezi
CALL: 0657618231 โ๏ธ
#rejaainvestment #rejaarealestate #viwanjadodoma #viwanjakigamboni #viwanjagoba #viwanjatanzania #viwanjabagamoyo