Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIMARA TEMBONI 
MILIONI. 50,
__________________
KUSHOTO KAMA UNATOKEA MJINI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI 
DK  10, TU  KWA MGUU
≠======
SIFA ZA KIWANJA
KIWANJA KINA MSINGI 
WA NYUMBA KUBWA 
YA VYUMBA VINNE 
KIMOJA MASTA 
SEBULE DAINING
JIKO STOO NA CHOO CHA PABLIC
=====
BARABARA NI LAMI 
UKUBWA WA KIWANJA
NI  SQM. 750
PAZURI SANA KIBIASHARA  KAMA KUJENGA 
APATIMENTI ZA KUPANGISHA
AU KUISHI MWENYEWE
=====
BEI MILIONI 50,
MAONGEZI KIDOGO YAPO
======
KUONA KIWANJA 20,000/=
__________________________
CALL 0779646072




















