Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam







KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIPO TAMBARARE KINAUZWA MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI KM 3
UKUBWA WA KIWANJA NI UPANA METERS 35 NA UREFU NI METERS 35 (35/35 METERS)
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🌟SIFA ZA KIWANJA HIKI NI
#KIPO MTAA MZURI SANA
#KIPO TAMBARARE
#UNAWEZA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENT) AU NYUMBA ZA KUISHI TUU
#MAJI DAWASA YAPO
BEI NI MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 684 88 14 29
MSHATI