Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALLDALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK. MOJA
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 500
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI
BEI MILIONI 35 MAONGEZI KIDOGO YAPO
KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI SANA BARABARANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20K
CONT 0656623510
WSP 0752436347