Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


💥KIWANJA!! KIWANJA
📍 Kinauzwa, KIMARA TEMBONI #45M
___________
• Kiwanja Kimezungushiwa Ukuta
• Kipo Sehemu Zuri
• Kunafaa kujenga Nyumba Za kupangisha au ya kuishi Mwenyewe
• Huduma za kijamii zipo
#Ukubwa wa eneo ni METERS 30/ 35 (SQM 1050)
#Document Ni Hati Safi ya Mauziano ya Serikali ya mtaa
#Bei; 45,000,000/= (Maongezi Yapo Kidogo)
📌Ipo Umbali wa km 2 kutoka kituoni, usafir wa bajaji na bodaboda upo, upande wa kulia kama unaenda Mbezi
_______
#Kupelekwa kuona 30,000/=
№ 0753-172-516