Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA MAHALI KILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIMARA STOP OVER BARABARA YA ZEGEE  DK 15, KUTOKA BARBARA KUU YA MOROGORO ROAD 
CALL 0779646072
  0784810004
Masele kimara raisi wa madalali kimara
KIWANJA HIKI KIPO TAMBALALE KABISA MIUNDOMBINU YAKE NI KAMA HIVI UMEME UPO MAJI YA BOMBA YAPO BARBARA HADI SAITI INAFIKIKA VZR SANA WAKATI WOWOTE 
BEI KINAUZWA TSHS MILIONI 35
UKUBWA WA KIWANJA HIKI NI 
UREFU MITA HAMSINI KWA ISHILIN NATANO




















