Kiwanja kinauzwa Kinondoni, Dar Es Salaam


Kiwanja Cha Uwekezaji Kinauzwa
Mahali: Kinondoni Hananasifu
Bei: Milioni 260
☑️Ukubwa: Sqm393
☑️Umiliki: Hati Imenyooka
☑️Umbali: Karibu Sana Na Lami
☑️Uwekezaji: Fremu, Apartments, Gereji, Godown, Nyumba Ya Kuishi, Nk


















