Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Shule.
Ni eneo tulivu kabisa mji unaokuwa kwa kasi sana.
Huduma zote za msingi za kijamii zipo tena bila ata shida.
Eneo hili ni tambarare na ufikaji sio wa shida.
Panafaa kwa makazi pamoja na uwekezaji.
Ukubwa: Sqm 1000
Bei: Mil 100
Muhitaji piga 0688 412 890.