Kiwanja kinauzwa Kivule, Dar Es Salaam


HAYA WAHI, YA-VYUMBA 10 KWA MILIONI 36 TU, KIVULE-CCM.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 360.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa ni Gari moja tu kufika Mjini.
Vyumba vya kulala 10 jumla.
Kwa KUPANGISHA hapa utapiga Hela hadi uone unadhurumu.
Wiring IMESHAFANYIKA na Baadhi ya vyumba Viko na Plasta.
Nguzo ya Umeme ipo Jirani.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
_________________mskv