Kiwanja kinauzwa Lugoba, Pwani


๐BAR& LODGE INAUZWA
๐MAHALI LUGOBA TOWN
๐ BAR HII IMEKAMILIKA KASORO SEHEMU KADHAA NA NYINGINE BADO ZIPO KWENYE MATENGENEZO KAMA SEHEMU YA VIP NA BAADHI YA VYUMBA
๐MTEJA UTAACHIWA KILA KITU HAPO UKINUNUA KUANZIA MAFRIG, VITI, MAJIKO, MAKRET NA VINGINE
๐ INA UKUBWA WA HEKA MOJA NA ROBO
๐ENEO LA PARKING LIPO KUBWA
๐ COUNTER โ
๐ KITCHEN โ
๐VIP NDOGOโ
๐IPO BARABARANI KABISA KAMA
๐UKUBWA WA ENEO NI SQM 6000
๐BEI 180 MILLION (MAONGEZI YAPO)