Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana km unavyoona
Ukubwa-sqm 600
Kimepimwa bado Hati
Bei- ml 40 maongezi
Location- madale mbopo
Umbali-km 4 kutoka main road madale mwisho
Na mita 600 kutoka barabara kubwa ya mbopo
Karibuni
Dalali Together 0784234971
0718809744



















