Kiwanja kinauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KIZAMANI/KIWANJA SQM.300,TSHS.300 MIL, MAKUMBUSHO.
Jirani sana na Barabara ya Lami.
Hapa panafaa kuwekeza Makazi yako ya kosasa,
Kujenga Ofisi au Apartments nk.
Kumbuka ni umbali wa kilomita 8 tu kutoka Posta.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Ardhi.
Wahi usichelewe.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________erytn55