Kiwanja kinauzwa Mapinga, Pwani


*Eneo la Ekari 9 la ufugaji wa Kuku linauzwa Kiaraka, Mapinga*
📍 Kiaraka, Mapinga. Distance Kutoka Bagamoyo road ni 1.6 km
✅Eneo lote limezungurushiwa fence na mageti mawili
✅Eneo ndani lina Ma-godown 2, Banda kubwa la Kuku, nyumba ya Bwana shamba (care taker).
*Eneo linafaa kwa mradi mkubwa wa Ufugaji wa Kuku*
✅Matumizi yanaweza kubadilika kuwa Light Industry
✅Mashine ya kusagia chakula Cha Kuku.
✅Kisima Cha Meter 60 na Maji ya Dawasco
✅Umeme mkubwa 3 Phase
✅Plot size Ekari 9
*Bei shilingi Bilioni 1.2 maongezi yapo*
#0758998074👈
#0689138795whatsapp
Uduma ya kuona kiwanja elfu 30


















