Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


Nyumba inauzwa,
Ni nyumba nzuri,
Kubwa na ya kisasa.
Ipo Mwanagati kwa mfipa.
Ina vyumba vitano,
Vitatu ni master bedroom,
Ina sebule mbili, dinning na jiko.
Imefanyiwa wiring kabisa,
Na milango yote tayari.
Ukubwa wake ni 809sqm.
Nyumba ina hati.
Bei mil 200.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638