Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NI KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ML 27 NA ( Maongezi yapo)
Mbezi mwisho Makabe km 1.5 kutoka morogoro road
Ukubwa 30 kwa 20
KIWANJA KIPO SEEM NZURI KIWANJA KIPO TAMBARARE KIPO PEMBEZON MWA BRBR YA MTAA
NA MTAA WENYEWE UMEJENGEKA VIZUR
Bei Million 27 ( Maongezi yapo)
Service charge 30,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.