Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam



KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIPO TAMBARARE KINAUZWA MILIONI 35 MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI KM 2.5
UKUBWA WA KIWANJA NI UPANA METERS 35 NA UREFU NI METERS 20 (600 SQUARE METERS)
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🌟SIFA ZA KIWANJA HIKI NI
#KIPO MTAA MZURI SANA
#KIPO TAMBARARE
#UNAWEZA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENT) AU NYUMBA ZA KUISHI TUU
#MAJI DAWASA YAPO
BEI NI MILIONI 35 MAONGEZI YAPO KIDOGO
SIMU
0712656027