Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


Nakuita wewe ambaye unataka kumiliki shamba mjini…unataka uwekezaji wa muda mfupi….sogea hapa…
Shamba bei nafuu tsh mil 7 kwa heka na jumla lina heka 3..be tsh 21,000,000
Ofa ofa ofa
Shamba nzuri linapatikana BIGWA KIPARANGANDA
Bei ya shamba?
Tsh 21,000,000
Ukubwa wa shamba?
Heka 3
Umbali kutoka barabarani?
Mita 500
Huduma za kijamii?
Maji yapo na umeme upo
Majirani na shule ipo pembeni ya shamba hili
Document?
Hati ya mauziano kutoka serikali ya kijiji
Shamba hili sio mali ya URITHI
Gharama ya Site visit?
Tsh 30,000
Utaratibu wa kutembelea site?
piga simu kwenye namba hii 0785367831
Au whatsapp 0769355987 kupanga appointment ya siku ya kutembelea site.