Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


ENEO LINAUZWA NZINJE MICHESE DODOMA.
👉12km kutoka mjini na 4km kutoka zinapoishia daladala.
👉Lina ukubwa wa 9801 (ekari 2.5) na Limepimwa.
👉Huduma za kijamii hamna...maji wala umeme Wala barabara!
👉Mji huu unakua, miaka miwili mbeleni patakua na Huduma zote za kijamii.
👉Bei ni milioni 8.7 tu
Site fee 20,000
0672312302
"Ora et labora, pray and work"