Kiwanja kinauzwa Msigani, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri sana nanikaribu na barabara inayowekwa lami Kwa sasa
Ukubwa-sqm 1000
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 55 maongezi
Location- msigani centre
Umbali-km 2.5 kutoka main road madale flamingo
Na mita 200 kutoka barabara kubwa ya msigani inayowekwa lami
0745559598











