Kiwanja kinauzwa Msongola, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MSONGOLA JIJI LA ILALA DAR ES SALAAM
BEI MILIONI { 27,000,000/= MILIONI }
NYUMBA INA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM JIKO PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME NK
NYUMBA INA HATI YASEREKALI YAMTAA
UKUBWA WA KIWANJA SQMT { 400 }
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD MITA { 100 }
NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII
WAHI SASA MDAU WANGU UJIPATIE NYUMBA KWA BEI POA KABISA
WOTE MNAKARIBISHWA