Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MTUMBA NYUMA YA SHELL YA PUMA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,000 sq.m
Kipo nyuma ya Shell ya Puma
Dakika tano toka lami ( Dsm/Moro road)
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs. 18,500,000/= ( milioni kumi na nane na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"