Kiwanja kinauzwa Nkuhungu, Dodoma


KIWANJA KIZURI KINAUZWA
KIWANJA NO 190 BLOCK K ENEO LA NKUHUNGU MAHUNGU
KIWANJA TAYARI KINA FENSI UPANDE MMOJA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 550
SAWA NA MAPANA YA MT 15
MAREFU YA MT 37
BEI = 8m
eneo hili lipo Barabara ya singida ni Karibu na mnada mpya ni Moja ya eneo linalo jengeka kwa kazi kubwa
Huduma zote za muhimu kama MAJI ✅ UMEME ✅ BARABARA✅ vyote ni uhakika