Kiwanja kinauzwa Nzuguni, Dodoma


KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA ILAZO ( NZUGUNI C) KIPO LAMI YA MARTIN LUTHER KWENDA KWA W/MKUU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 997 sq.m
Kina HATI
Cha pili LAMI
Kimepakana na kituo cha Afya ILAZO
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 60,000,000/= ( milioni sitini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"