Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


YARD, UKUBWA SQM.4112, BEI TSHS.370 MILIONI,PUGU SEKONDARI. 
Unachepukia PUGU SEKONDARI. 
Wastani wa kilomita 18 tu kutoka POSTA/MJINI.
Na kilomita 2 tu kutoka Lami.
Panafaa sana kuendesha shughuli kama za Kuhifadhia Bidhaa au Mashine/Mitambo/ Karakana nk.
Njia Pana yakupita Gari kubwa ipo.
Ipo ndani ya Fensi na UMILIKI ni 
HATI (Title Deed) ya Wizara 
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
_____________tp



















