Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


VIWNAJA VYA BEI RAFIKI YA TSHS.6.5 MILIONI,
PUGU ILALA.
Eneo ni baada tu ya KIGOGOFRESH.
Na ni jirani na Barabara ya Lami
( Dakika 10 u kwa migu)
Ukubwa SQM. 220 (Vinalingana ukuwa)
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Unaweza kuunganisha vinavyopakana ili KUMILIKI
eneo kubwa zaidi kikiwezekana hata lote yani
SQM.1,540 kwa Milioni 45 tu.
Kumbuka vipo 7 hapa.
Mazingira mazuri.
Mtaa umejengeka na Hduma muhimu zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%.
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________tP
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.