Kiwanja kinauzwa Sinza, Dar Es Salaam


PLOTI INAUZWA – SINZA MADUKANI (Bei Poa Sana!)
📍 Mahali: Sinza Madukani – Ploti ya PILI tu kutoka barabara kuu ya Shekilanga Road
📏 Ukubwa: 288 m² (8 x 36)
💰 Bei: TZS 270,000,000/= (Milioni Mia Mbili na Sabini) – Inakubalika kujadiliwa kidogo
📄 Hati: Clean Title Deed (Hati safi kabisa, iko tayari)
✅ Eneo lenye maendeleo makubwa, jirani na barabara kuu
✅ Majirani wamejenga vizuri, umeme na maji vipo karibu
✅ Inafaa kwa nyumba ya ghorofa au biashara
🚨 Viewing fee: 50,000/= (serious buyers tu)
🔹 Agent commission 10% ipo kwa wapambanaji
Piga simu au WhatsApp sasa hivi:
📞 +255 688 412 890
Bei hii haidumu – mgeni wa kwanza mwenye pesa anachukua! 🏃♂️


















