Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Matajiri wa kubwa wengi wamewekeza kwenye ( real estate )
(1) biashara isiyo na stress
(2)ni asset endelevu isiyotaka mtaji wa kuendelea kwa maan ukishajenga umejenga
(3) ni uhakika wa kuweka pesa yako
Ila sharti kubwa ni kucheza na location
Hiyo Prot nnayouza ipo Tabata dar es salaam yenye ukubwa wa sqm 780
Full document inatizama lami
Kwa tsh mil 145,000,000/=
Panafaa kwa - Apartment
Kwenda mjini ni daika 15
Mwenge 30
Airport 40
Yaan upo center , na hilo ndio lakuzingatia
Usikubari kuweka pesa yako maswekeni ukataka kujifananisha na wa mjini centar ukitaka kweri kuwekeza kwenye kujenga nyumba za kupangisha cheza na location
Kuja site 40k
+255718399993