Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri Sana kinatazama bala Bala kuu ya mtaa
TABATA KINYEREZI KIBAGA B Kinauzwa
Bei: 75 Milion #maongezi_yapo
šLocation: Tabata Kinyerezi Kibaga B
šUkubwa wa Kiwanja ni Sqm 1481
Kiwanja kipo Tabata kinyerezi kibaga B kinatizama Bala Bala kuu ya Mtaa kipo sehemu nzuri sana kinafaa kwa uwekezaji au kuishi kumejengeka sana Pia panafikika kwa ulahisi mno mazingira mazuri
ā
ļøFully Documented
ā
ļøKimepimwa (BADO HATI KUTOKA)
Huduma zote zipo
šMaji
šShule
šHospital
šUmeme
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
āļø0785916587 Whatsp/Calls
āļø0627511524 Whatsp/Calls