Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Tabata Segerea Kwa Bibi.
Ukubwa: Sqm 500
Bei: Mil 60
- Kipo ndani ya fence
- Ni tambarare
- Huduma zote za kijamii zipo
- Ni dakika 0 kutoka kituoni
Panafaa kwa ujenzi wa nyumba binafsi au za biashara, panfaa kwa ujenzi wa frame, hotel/motel, yard, car wash, n.k
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.