Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


BOSS WANGU HILI NI ENEO LA WAZI, LINAKODISHWA
LIPO UBUNGO MATAA DAR ES SALAAM TANZANIA
NI KAMA MITA 30 HIVI KUTOKA SAM NUJOMA ROAD
UNAWEZA KUKATIWA KUTOKANA NA MAHITAJI YAKO, MFANO SQM 500, 600, 1000 NK...
PANAFAA KWA KUTENGENEZA ENEO LA KUHIFADHIA VITU/MIZIGO, VIWANDA VIDOGO VISIVYO NA KERO YA KELELE NYINGI NA SUMU, NK BAR NA KANISA HAVITAKIWI.
BEI SH ELF 5 KWA SQM 1, INAONGELEKA NJOO MEZANI
Tupigie +255 658 582977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.