Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


Eneo la Ekari 4 linauzwa Ubungo Kibo-UDSM road
Location Eneo lipo katikati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Ubungo Kibo
Distance Kutoka Morogoro Ubungo Kibo mpaka site ni 1.8 KM
-Eneo ni zuri kwa kujenga Apartment, Hostel, Yard au Godown.
-Eneo lipo kwenye lami ya Zege na lina Barabara mbili ukiingilia UDSM unafika na Ubungo Kibo unafika
-Plot size Sqm 16,000
-Document: Title Deed (99 Years)
Bei shilingi Bilioni 1.5 maongezi yapo
SERVICE CHARGE NI 50K
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030