Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA,
UBUNGO RIVER SIDE,
INA FREM 5
BEI YA KODI KILA FREM,
FREM YA KWANZA 600,000
FREM YA PILI 400,000
FREM YA TATU NA YA NNE 350,000
FREM YA TANO 150,000.
JUMLA KODI FREM ZOTE 1,850,000 KWA MWEZI.
UWANI ILIKUWA BAR NA GUEST, SASAHIVI VYUMBA VYOTE NI HOSTEL.
NYUMBA INA HATI (TITLE DEED)
UKUBWA WA ENEO 860SQM.
MMILIKI MMOJA,
BEI MIL 350 MAONGEZI.
Mawasiliano ๐
โก๏ธโ๏ธ0679 077638