Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani


PLOT/ENEO KUBWA SQM 93,000 (Ekari23) LINAUZWA - VIKINDU
————————————————————————
MAELEZO YA ENEO/PLOT
📍 MAHALI: Vikindu
📏 UKUBWA: SQM 93,000 (Ekari23).
📄 UMILIKI: Limepimwa & Lina Hati ya wizara.
💰 BEI: Tsh. 2.6Bil - Maongezi yapo.
SIFA ZA ENEO
● Liko mita200 kutoka barabara ya lami.(Kilwa road)
● Linafikika kirahisi kwa gari ya aina yote.
● Eneo lote ni tambalale.
● Limepakana na kiwanda.
● Lina ukubwa wa kutosha SQM 93,000 (Ekari23)
LINAFAA KWA MATUMIZI KAMA:-
● Kujenga yard ya magari makubwa.
● Kujenga kiwanda.
● Kujenga magodown makubwa.
● Kujenga karakana.
● Huduma za kijamii kama maji & umeme vipo.
📞 Call / WhatsApp & SMS: