Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


150000x6
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 150k #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilometa 2.5 kutoka Main Road. Usafiri Bajaj 500 Ukishuka Unatembea Kwa Mguu Dakika 3 UNAINGIA GETINI.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba KIMOJA cha Kulala Master
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 ndani ya Eneo Moja Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 150,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
____