Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


LIPA 270K MIEZI 3 KUENDELEAAA HAPA
TUNAKULETEA NYUMBA NZUR KUBWA NA MPYAAA ZIPO MBILI
NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KIBAND CHA MKAA
UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU
PIKPK 100 MPK GETINI
SIFA ZAKE HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO
-PUBLIC TOILET
-AC/AIR CONDITIONS
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
-NDANI YA FENSI ZIPO NYUMBA 2
-YA JUU NDIYO IPO WAZI
-WAPANGAJI 2 TUUU GETI LENU PARKING IPO
BEI NI 270,000 ILIPWE MIEZI 3 kuendeleaa
*ANGALIZO:NYUMBA IPO WAZI ILA UFUNGUO UNAKUJA SOON*
*YA JUU NDIYO IPO WAZI WAHI SASA UKAE SEHEM NZUR*