Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa
BEI.MILLION 135 maongezi kidogo yapo
📍 TABATA SEGEREA BONYOKWA
Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vinne vya Kulala
◇viwili ni Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
◇document clean ya hatua za awali za ULASIMISHAJI ipo hatua za kupata TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
Mawasiliano Zaidi.
0657 777 771
0747 257 771
0620 579 936
DALALI TANZANIA 🇹🇿
Kasinge Katonda 2024