Nyumba (Furnished) ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA FULL FURNISHED MBEZI BEACH SHOPPERS
--------
Vyimba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 100O kwa mwezi
Ilipwe miezi 3
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 100O
-------------
CONTACT
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ