Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location Mwongozo
<> nyumba ina vyumba vitatu vya kulala vyote Master sebule dining na jiko ( Full furnished)
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ina mazingira safi
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price tsh,, 1ml per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















